Wednesday, February 21, 2018

RC MAKONDA AWEKEA MKAZO SWALA LA ELIMU
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza na wanainchi walimu pamoja na wanafunzi katika shule ya msingi Mbande iliyopo katika Halmashauri ya temeke nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam alipofanya ziara ya kukagua mpango mkakati wa halmashahuri hiyo wa kutatua changamoto zilizopo katika shule za Msingi Mbande na maji matitu zenye wanafunzi wengi waliojitokeza kujiandikiasha na darasa la kwanza kwa mwaka 2018. (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva na kulia ni Diwani wa kata hiyo Hemmed Karata, pamoja na viongozi wengine wa kata hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kulia) akizungumza na wanainchi walimu pamoja na wanafunzi katika shule ya msingi Mbande iliyopo katika Halmashauri ya temeke nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa alipofanya ziara ya kukagua mpango mkakati wa halmashahuri hiyo wa kutatua changamoto zilizopo katika shule za Msingi Mbande na maji matitu zenye wanafunzi wengi waliojitokeza kujiandikiasha na darasa la kwanza kwa mwaka 2018.wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kulia kwa Makonda ni Diwani wa kata ya Kirungule Saidi Fella na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo.
Kaimu Afisa Elimu Msingi Sylvia Mutasingwa, akitoa taarifa ya uandikishwaji wawanafunzi wa darasa la kwanza mwaka 2018kwakuwa imeonesha kuwa wilaya hiyo inaongoza kwakuwa na wanafuzi wengi katika shule ya msingi Mbande iliyopo katika Halmashauri ya temeke nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa alipofanya ziara ya kukagua mpango mkakati wa halmashahuri hiyo wa kutatua changamoto zilizopo katika shule za Msingi Mbande na maji matitu zenye wanafunzi wengi waliojitokeza kujiandikiasha na darasa la kwanza kwa mwaka 2018
Mkuu wa Mkoa akiwasili katika shule ya msingi Mbande akiongozana na baadhi ya viongozi mbalimbali alioambatana nao katika hafla hiyo
Baadhi ya wakazi wa Mbande pamoja na wanachama wa Chama Chamapinduzi walijitokeza katika hafla hiyo
Wanafunzi wa darasa la kwanza wakiwa katika hafla hiyohiyo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwaaga wanafunzi wa shule ya msingi Maji Matitu iliyopo mbagala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Akiba Commercial Bank Plc Yazungumza na Wateja Wake Mjini Moshi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC Bw. Silvest Arumasi akifungua Mkutano wa wateja wa Benki hiyo mkoa wa Moshi wenye...
No comments:
Post a Comment