Friday, March 16, 2018
BALOZI WA KUWAIT NCHINI AKABIDHI MASHINE ZA WATOTO NJITI KWA TAASISI YA DORIS MOLLEL
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jassim Al-Najim (kushoto) akikabidhi mashine maalum za kuwasaidia Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), kwa Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti, Doris Mollel ambazo zimetolewa na Ubalozi huo jana jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Rahma Amoud na Maryam Gerion wote kutoka Taasisi ya Doris Mollel.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jassim Al-Najim akiwa katika mazungumzo na Ujumbe kutoka Taasisi ya Doris Mollel, uliomtembelea ofisini kwake, Jijini Dar es salaam jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania na ASA Microfinance Yaadhimisha Miaka Minne ya Mafanikio katika Kuwawezesha Wanawake na Kubadilisha Jamii
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (Katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,...



No comments:
Post a Comment