Friday, March 9, 2018
WAITARA AFANYA ZIARA YA USIKU KWA MKANDARASI WA DARAJA LA KIVULE MZINGA.
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga,Mwita Waitara akiangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja la
Kivule mzinga baada ya kuwasili maeneo hayo jana usiku.
Zoezi
la Unyonyaji maji yaliyotuama likiendelea
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga,Mwita Waitara akizungumza na baadhi ya vibarua wanafanya
kazi ya ujenzi katika daraja hilo jana usiku.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
DCB YAZINDUA KAMPENI YA "TUMA BURE, SHINDA KILA WIKI" KUVUTIA WATEJA WA HUDUMA ZA KIDIJITALI
DAR ES SALAAM: Benki ya DCB imezindua kampeni maalum ya miezi sita ijulikanayo kama " Tuma Bure, Shinda Kila Wiki ", inayolenga...
No comments:
Post a Comment