BANDARI TANGA YAKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WILAYANI PANGANI - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, April 15, 2018

BANDARI TANGA YAKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WILAYANI PANGANI

Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kushoto anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kushoto anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kulia anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa
Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimpongezwa na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso mara baada ya kukabidhi vitanda hivyo katika anayeshughudia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa.
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa katika akimkabidhi Vitanda 10 vilivyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa kwa ajili ya wilaya ya Pangani kulia ni Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama akishughudia
Mganga mkuu wa wilaya ya Pangani (DMO) Juma Mfanga kulia akitolea vitanda 10 kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa vilivyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)
Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akiteta jambo na Mkuu wilaya ya Pangani Zainabu Issa katikati ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
Sehemu ya vitanda 10 vilivyotolewa na TPA



No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania na ASA Microfinance Yaadhimisha Miaka Minne ya Mafanikio katika Kuwawezesha Wanawake na Kubadilisha Jamii

Mkurugenzi Mtendaji wa  Benki ya Absa  Tanzania, Bw.  Obedi Laiser  (Katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,...

Pages