Saturday, April 21, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akutana na uongozi wa juu wa NBC jijini Dar
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kulia), wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja BInafsi wa nbc, Filbert Mponzi.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa NBC, Filbert Mponzi wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kushoto), wakati Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa benki hiyo, Filbert Mponzi akiangalia wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na Ulinzi
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, akikabidhi waraka wa ofa kwa Kaimu Mwenyekiti ...
No comments:
Post a Comment