Wednesday, April 18, 2018
VIONGOZI WA DINI YA KIISLAM WAMPONGEZA ASKOFU WA ANGLIKANA
Viongozi wa dini ya kiislam Sheik Hemed Mwakindenge ambaye ni
kiongozi wa chuo cha Dini cha Hawza Imam Swadiq (A.S) kilichopo Kigogo
Post Dar Es Salaam akiwa na Naibu wake Sheik Mohammed Abd, wamemtembelea Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar Es Salaam Jackson Sosthenes Jackson Ofisini
kwake. kwa lengo la kumpa mkono wa pongezi na kujitambulisha.
Wakizungumza mara baada ya kukutana Viongozi hao wamesema wamemtembelea Askofu huyo kwa lengo la kumpa Mkono kwa kumpongeza kwa kushika nyazifa hiyo Muhimu ya kuwaongoza watu Kiroho na pia Kujitambulisha ili Kujenga Mahusiano Mema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na Ulinzi
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, akikabidhi waraka wa ofa kwa Kaimu Mwenyekiti ...




No comments:
Post a Comment