Friday, May 11, 2018
Home
LOCAL
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana wakati akiondoka akiwa katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na Ulinzi
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, akikabidhi waraka wa ofa kwa Kaimu Mwenyekiti ...






No comments:
Post a Comment