Mr Sugu na Mwenzake waachiwa huru Mapema Leo - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, May 10, 2018

Mr Sugu na Mwenzake waachiwa huru Mapema Leo


Msanii wa hip-hop  nchini Mr Sugu ambae alifungwa kwa miezi sita kwa kosa la kumtukana rais ameachiwa huru leo mapema asubuhi, sugu amabe alitakiwa kufumngwa kwa muda wa miezi sita, imekuwa kitu cha kushangaza yeye kuachiwa hutu leo huku bado kukiwa na maulizo mengi kuhusu kuachiwa kwake huru.

Habari zinazosambaa ni kwamba Mr sugu ameachiwa huru baada ya Mh. Rais kutoa msamaha siku ya muungano tarehe 26/4 mwaka huu na kwamba hakuwahi kuto akutokana na taratibu ambazo alitakiwa kuzifuata kabla ya kutolewa gerezani humo.

Leo asubuhi wakati viongozi wake wa Chadema wakimsubiri Sugu kutoka gerezani, waliambiwa kuwa Sugu tayari ameshatoka gerezani na walipopiga simu nyumbani waliambiwa mtu huyo ameshafika nyumbani  muda mrefu.

Ukiachana na kazi ya usanii, Mr Sugu pia ni mwanasiasa  na mbunge wa Mbeya ambapo mambo ya siaa ndio yaliyomfanya kufungwa kutokana na kumkejeli Rais wa nchini.

No comments:

Post a Comment

APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na Ulinzi

  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, akikabidhi waraka wa ofa kwa Kaimu Mwenyekiti ...

Pages