Mbunge wa Kondoa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia), akifurahi na Mkuu wa Masoko wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa (wa pili kushoto), Meneja wa DCB Tawi la Dodoma, Joseph Njile (kushoto) pamoja na Ofisa Mikopo wa DCB Dodoma, Nuru Ashraf, wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo ikiwa kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi wa Kondoa kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi katika hafla iliyofanyika katika Kata ya Pahi, wilayani Kondoa, Dodoma juzi. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki. Wa pili kulia ni mjumbe wa mkutano huo, Shamte Kapesa.

No comments:
Post a Comment