Monday, October 15, 2018

MKUTANO WA NBC NA WATEJA WAFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA MKOANI SINGIDA
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (kulia), akizungumza wakati wa mkutano uliondaliwa na NBC kwa wateja wake na wengineo ili kuweza kupata mrejesho wa huduma na bidhaa wazitoazo. Mkutano huo ulifanyika mkoani Singida juzi.
Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru (kulia), akibadilishana mawazo na Katibu Tawala wa Wilaya ya Singida, Wilson Shimo (wa pili kushoto), wakati wa mkutano huo. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja wa Tawi la NBC Singida, Thomas Lijaji na Diwani wa Kata ya Minga, Mariot Charles.
Meneja wa Tawi la NBC Singida, Thomas Lijaji (kulia), akizungumza wakati wa mkutano uliondaliwa na NBC kwa wateja wake na wengineo ili kuweza kupata mrejesho wa huduma na bidhaa wazitoazo. Mkutano huo ulifanyika mkoani Singida juzi.
Baadhi ya wateja na washiriki wengine waliohudhuria mkutano huo mjini Singida juzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Akiba Commercial Bank Plc Yazungumza na Wateja Wake Mjini Moshi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC Bw. Silvest Arumasi akifungua Mkutano wa wateja wa Benki hiyo mkoa wa Moshi wenye...
No comments:
Post a Comment