Lord Eyes FC yaichabanga Miyosha FC 4-1 wakati wa mechi ya mashindano ya PROPHET SUGUYE CUP mzunguko wa kwanza - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Tuesday, May 28, 2019

Lord Eyes FC yaichabanga Miyosha FC 4-1 wakati wa mechi ya mashindano ya PROPHET SUGUYE CUP mzunguko wa kwanza


Mshambuliaji machachari wa timu ya soko ya Lold Ayes, Abdallah Sultani, akijaribu kumtoka kiungo wa timu ya  Miyosha FC wakati wa mechi ya mashindano ya PROPHET SUGUYE CUP,yanayoendelea katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka kidedea kwakuichabanda timu ya Miyosha FC kwa mabao 4-1 mchezo huo umefanyika jana.
Kocha wa timu ya  Lord Eyes Imani Mwaikonyole akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa  wa mchezo wao zidi ya Miyosha FC katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka kidedea kwakuichabanda timu ya Miyosha FC kwa mabao 4-1 mchezo huo umefanyika jana.
Baadhi ya mashabiki wa timu ya Lord Eyes wakishangilia ushindi wa timu yao kuibuka kidedea katika mchezo huo.
Kocha Msaidizi wa timu ya  Lord Eyes Joseph Mbezu akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa  wa mchezo wao zidi ya Miyosha FC katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka kidedea kwakuichabanda timu ya Miyosha FC kwa mabao 4-1 mchezo huo umefanyika jana.
Baadhi ya Viongozi na waandaaji wa michuano hiyo wakiwa viwanjani kushuhudia mtanange.
Mratibu wa Mashindano ya Suguye Cup Robert Mjuni akiwa na Katibu wa Kamati ya uwaandaaji wa michuano hiyo wakiwa katika harakati za kupitia ripoti mbalimbali za michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages