Startimes Yatoa Msaada Kwa Watoto Wenye Matatizo Ya Moyo Muhimbili - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Wednesday, November 6, 2019

Startimes Yatoa Msaada Kwa Watoto Wenye Matatizo Ya Moyo Muhimbili


KAMPUNI ya Startimes kupitia chapa yake ya StarTimes, wametembelea watoto wenye matatizo ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Muhimbili na kutoa mfano wa Hundi ya shilingi Milion 4 kwaajili ya mahitaji yao mbalimbali ikiwamo matibabu.

Startimes imetambua umuhimu wa kuwachangia watoto hawa kwa kutambua kwamba wengi wao wanapitia changamoto mbalimbali ikiwemo, chakula, matibabu na hata mavazi, hivyo imeona ni vyema kushirikiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz kuwafikia watoto hawa na kuwafariji.

Huu ni mpango ambao kampuni ya Startimes imejiwekea kila Mwaka katika kuhakikisha inaifikia jamii kwa namna moja au Nyingine..Alisema Bw.David Malisa Meneja Masoko wa Startimes.

Katika kuhakikisha Wasafi Festival inafanikiwa Startimes tumeshiriki katika kuwezesha tamasha hili kama mdhamini wa Tamasha.Aliongeza Bw.David Malisa

No comments:

Post a Comment

ABSA BANK TANZANIA SEES GLOBAL VOLATILITY AS A CATALYST FOR TANZANIAN COMPETITIVE ADVANTAGE

Corporate Banking Director at Absa Bank Tanzania, Ms. Nellyana Mmanyi, addresses participants during a meeting organized for senior business...

Pages