Monday, December 9, 2019
Benki ya Barclays yatwaa ushindi Tuzzo za NBAA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shaban
(wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha
mabenki makubwa ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Wahasibu
na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Fedha ya Benki
yaa Barclays Tanzania, Bernard Tesha katika hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam hivi karibuni. Kulia ni Meneja wa Kitengo cha Usimamizi wa Fedha wa
benki hiyo, Muhsin Kaye na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, Prof. Isaya
Jairo.
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Barclays Tanzania, Bernard
Tesha (kulia), na Meneja wa Kitengo cha Usimamizi wa Fedha wa benki hiyo,
Muhsin Kaye, wakionyesha tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha mabenki
makubwa ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Wahasibu na
Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) iliyoshinda benki hiyo mara baada ya kukaabidhiwa
jijini Dar es Salaam h kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Fedha ya Benki
yaa Barclays Tanzania, Bernard Tesha katika hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABSA BANK TANZANIA SEES GLOBAL VOLATILITY AS A CATALYST FOR TANZANIAN COMPETITIVE ADVANTAGE
Corporate Banking Director at Absa Bank Tanzania, Ms. Nellyana Mmanyi, addresses participants during a meeting organized for senior business...
No comments:
Post a Comment