Monday, December 9, 2019
Benki ya DCB yaibuka kidedea tuzo za NBAA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shaban
(wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza katika kitengo cha
mabenki madogo na ya kati ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na
Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) kwa Mkurugenzi wa Idara ya
Uendeshaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Nelson Swai katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam juzi. Kulia kabisa ni Mkaguzi wa Hesabu za Ndani wa
DCB, Samwel Stephano.
Mkaguzi wa Hesabu za Ndani wa Benki ya Biashara ya DCB, Samwel
Stephano (kulia) akionyesha tuzo ya mshindi wa kwanza katika kitengo cha
mabenki madogo na ya kati ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na
Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) mara baada ya kukabiodhiwa
katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Uendeshaji wa DCB, Nelson Swai.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sitoyo Lopokoiyit underscores Absa's confidence in Tanzania's growth potential
Dar es Salaam, Tanzania | 23 September 2026 : Sitoyo Lopokoiyit, Chief Executive: Personal and Private Banking Pan-Africa, has visited Tanza...
No comments:
Post a Comment