Thursday, August 20, 2020
MIAKA 40 YA MAASKOFU NA MAPADRE YAAZIMISHWA BUNGENI
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao walipotembelea ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akifafanua jambo mbele ya Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma wakiwa katika ziara ya mafunzo.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watatu kushoto) akiwa katika maombi maalum ya kuliombea Bunge yaliyotolewa na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akiongozana na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao wakati wakiingia katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya mafunzo.
Baadhi ya Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (hayupo kwenye picha) wakati walipotembelea ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watano kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Biashara DCB kuendelea kuboresha Maisha ya Watanzania
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Bi. Zawadia Nanyaro (wa nne kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Bias...
No comments:
Post a Comment