TANESCO YABORESHA UPATIKANAJI WA UMEME MKOA WA GEITA - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, September 24, 2020

TANESCO YABORESHA UPATIKANAJI WA UMEME MKOA WA GEITA

Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko (wa pili kushoto mwenye fulana nyeusi) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa (TANESCO) Kituo cha Mpomvu Mkoani Geita Ramadhani Kidunda kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo wakati waziri huyo alipotembelea kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho ya Madini yanayoendelea Geita.

Mhandisi wa (TANESCO) Kituo cha Mpomvu Mkoani Geita Ramadhani Kidunda akitoa maelezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo katika Mkoa wa Geita kwa Waziri wa Madini Dotto Biteko alipotembelea kwenye Banda la Shirika hilo kwenye Maonyesho ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili Mjini Geita.

 
Muonekano wa Banda la TANESCO katika maonesho ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya Bombambili Geita.
 
Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akitia saini kwenye kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho ya Sekta ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya Bombambili Geita.

No comments:

Post a Comment

Akiba Commercial Bank Plc Yazungumza na Wateja Wake Mjini Moshi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba Commercial  Bank PLC Bw. Silvest Arumasi akifungua Mkutano wa wateja wa Benki hiyo mkoa wa Moshi wenye...

Pages