Benki ya Absa Tanzania yatwaa tuzo ya Taasisi Bora ya Fedha katika Matumizi ya Tehama - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Saturday, October 23, 2021

Benki ya Absa Tanzania yatwaa tuzo ya Taasisi Bora ya Fedha katika Matumizi ya Tehama

 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Zainabu Chaula (kushoto) akikabidhi tuzo ya Taasisi bora ya Fedha kwenye matumizi ya Tehama kwa Ofisa Mkuu Mwendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Oscar Mwamfwagasi (katikati) pamoja na Ofisa Mkuu wa Tehama wa Absa, Emmanuel Mwinuka, wakati wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), jijini Arusha jana.
Ofisa Mkuu Mwendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Oscar Mwamfwagasi (kushoto) na Ofisa Mkuu wa Tehama wa Absa, Emmanuel Mwinuka, wakionyesha tuzo ya Taasisi Bora ya Fedha kwenye matumizi ya Tehama mara baada ya kukabidhiwa wakati wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), uliofanyika jijini Arusha jana.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Zainabu Chaula (kulia), akibadilishana mawazo na Ofisa Mkuu Mwendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Oscar Mwamfwagasi (wa pili kushoto) pamoja na Ofisa Mkuu wa Tehama wa Absa, Emmanuel Mwinuka (kushoto), wakati wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), uliofanyika jijini Arusha jana. Mwingine ni mmoja wa waandaaji wa mkutano, Tumaini Magila.

No comments:

Post a Comment

TCB BANK WAZINDUA KIKOBA KIDIJITALI, WAJIVUNIA UWAZI NA USALAMA KATIKA UWEKAJI FEDHA

Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Benki, Adamu Mihayo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kikoba kidigitali leo Mei 09, 2024, jijini Dar es Salaam wa...

Pages