RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA WAKAGUZI WA NDANI - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Monday, November 29, 2021

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA WAKAGUZI WA NDANI

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) unaoongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Nd,Zelia Njeza (wa tatu kushoto) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja.
Wasaidizi wa Rais, wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) (hawapo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Kitabu cha Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)Nd,Zelia Njeza baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja .[Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages