VODACOM TANZANIA FOUNDATION KWA KUSHIRIKIANA NA UNEP, UNICEF, DORIS MOLLEL FOUNDATION WAANGALIA NAMNA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI HUCHANGIA ONGEZEKO LA KUZALIWA KWA WATOTO NJITI NCHINI - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Wednesday, December 1, 2021

VODACOM TANZANIA FOUNDATION KWA KUSHIRIKIANA NA UNEP, UNICEF, DORIS MOLLEL FOUNDATION WAANGALIA NAMNA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI HUCHANGIA ONGEZEKO LA KUZALIWA KWA WATOTO NJITI NCHINI

 
Mratibu wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mazingira (UNEP) Clara Makenya (kushoto) akipokea mti wa matunda kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation, Doris Mollel (kulia) mara baada kumalizika kwa semina iliyojadili namna ambavyo athari za mabadiliko ya tabianchi huchangia ongezeko la kuzaliwa kwa watoto njiti, huku pia ikisababisha vifo vya akina mama wajawazito. Kulia ni Meneja wa Tasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald ambao ni wadau katika kusaidia juhudi za kuhifadhi mazingira na kusaidia juhudi za serikali katika sekta ya afya nchini.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages