Absa Tanzania yazindua ripoti ya viashiria vya masoko ya Kifedha Afrika - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, February 24, 2022

Absa Tanzania yazindua ripoti ya viashiria vya masoko ya Kifedha Afrika

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga (wa tano kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed (wa nne kushoto) wakizindua ripoti za viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 iliyoandaliwa na Absa na Taasisi ya kifedha ya OMFIF jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Jeff Gable kutoka Absa Group, Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa Absa Tanzania, Esther Maruma, Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji Tanzania (CMSA), Nicodemus Mkama, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Lawrence Mafuru, Mwenyekiti wa Bodi ya Absa, Simon Mponji , Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi na Mkurugenzi wa Sheria na Malalamiko wa Absa, Irene Sengati-Giattas.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga (katikati) akipokea tuzo ya pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Absa Tanzania, Simon Mponji baada ya kushinda tuzo ya 'Central Banker of the Year' ya 2021”, inayotolewa na The Banker Magazine wakati wa uzinduzi wa ripoti ya viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga akisoma hotuba yake wakati akizindua rasmi ripoti ya viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 iliyoandaliwa na Absa na Taasisi ya kifedha ya OMFIF jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 iliyoandaliwa na Absa na Taasisi ya kifedha ya OMFIF jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa Benki wa Absa Tanzania, Esther Maruma akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji Tanzania (CMSA), Nicodemus Mkama wakati wa uzinduzi wa ripoti ya viashiria vya masoko ya kifedha Afrika kwa mwaka 2021 jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Simon Mponji.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed (kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Lawrence Mafuru wakati wa uzinduzi wa repoti za viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sheria na Malalamiko wa Absa, Irene Sengati-Giattas.
Mgeni rasmi, gavana wa BoT, naibu katibu mkuu wizara ya fedha, maofisa wa ngazi za juu serikalini na kutoka taasisi nyingine za fedha, wafanyakazi wa Absa na waalikwa wengine wakihudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 jijini Dar es Salaam jana.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga (katikati) akisindikizwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Simon Mponji (kushoto) wakati akiondoka katika hafla ya uzinduzi wa rIpoti za viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni msaidizi wa gavana, Dk. Balele John.
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa Benki ya Absa Tanzania, Esther Maruma (kushoto), akisalimiana na mmoja wa wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa ripoti ya viashiria vya masoko ya fedha Afrika kwa mwaka 2021 jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages