Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Ya CCM Lumumba Jijini Dar Es Salaam - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Wednesday, September 7, 2022

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Ya CCM Lumumba Jijini Dar Es Salaam

 
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania na ASA Microfinance Yaadhimisha Miaka Minne ya Mafanikio katika Kuwawezesha Wanawake na Kubadilisha Jamii

Mkurugenzi Mtendaji wa  Benki ya Absa  Tanzania, Bw.  Obedi Laiser  (Katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,...

Pages