Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt.Selemeni Jafo (katikati), Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ( wa kwanza kushoto) wakimkabidhi mtungi wa gesi ya kupikia wa Oryx mmoja wa mama lishe wa Mkoa wa Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi 1500 yakiwa na majiko yake kwa wananchi wa Jiji la Arusha wakiwemo wajasiriamali leo Aprili 27,2024 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha
ANANCHI wa Jiji la Arusha wakiwemo Baba na Mama Lishe wameishukuru Kampuni ya Oryx Gas kwa hatua inazochukua za kuhakikisha kundi hilo linatumia nishati safi ya kupikia kwa lengo la kuharakisha shughuli zao sambamba na kuwaepusha na madhara yanayotokana na kutumia kuni na mkaa wakati wa kupika.

Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi 1500 yakiwa na majiko yake kwa wananchi wa Jiji la Arusha wakiwemo wajasiriamali leo Aprili 27,2024 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt.Selemeni Jafo (katikati), Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ( wa kwanza kushoto) wakimkabidhi mtungi wa gesi ya kupikia wa Oryx mmoja wa mama lishe wa Mkoa wa Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi 1500 yakiwa na majiko yake kwa wananchi wa Jiji la Arusha wakiwemo wajasiriamali leo Aprili 27,2024 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha

No comments:
Post a Comment