Saturday, February 15, 2025

Home
Unlabelled
YAS YADHAMINI TAMASHA LA MAASAI TOURISM CULTURE KUKUZA UTAMADUNI WA KITANZANIA.
YAS YADHAMINI TAMASHA LA MAASAI TOURISM CULTURE KUKUZA UTAMADUNI WA KITANZANIA.
Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa simu wa Yas Tanzania Kanda ya Kaskazini,Daniel Mainoya, akimwelezea Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Tanzania Boniface Kadili, kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuhusu bidhaa na huduma za Yas wakati wa Maasai Tourism Cultural Festival inayofanyika katika Uwanja wa Magereza, Kisongo,Arusha. Yas inadhamini tamasha hilo kwa lengo la kukuza na kuhifadhi utamaduni wa Kitanzania.
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa ya endelea kusambaza upendo wa Siku ya Wapendanao kwa wajasiriamali
Meneja wa Masuala Endelevu na Matukio wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi, akichagua maua, wakati baadhi ya wafanyakazi wa benki h...

No comments:
Post a Comment