Shule ya Sekondari Kighare, mwanga yapigwa tafu - Business Insights

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +715765454 email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, September 23, 2012

Shule ya Sekondari Kighare, mwanga yapigwa tafu

Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Tanzania Portland Cement Ltd, Pascal Lesoinne baada ya kuzindua rasmi madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Kighare, yaliyojengwa na Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Madarasa hayo yalibomolewa na mafuriko mwaka jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanzania Portland Cement (TPCC), Pascal Lesoinne akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Kighare, yaliyojengwa na Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Madarasa hayo yalibomolewa na mafuriko mwaka jana. 
Picha ikionyesha majengo ya madarasa hayo yaliyojengwa na Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. 

HeidelbergCement Competence Centre Materials Director, Barry Hudson (3rd L), Mwanga District Commissioner, Shwaibu Issa Ndemangwa (4th L), cuts a ribbon during the inauguration ceremony of two classrooms of Kighare Secondary School constructed by the Belgium Competence Centre Materials in partnership with Tanzania Portland Cement and Joram General Enterprises Ltd. A brief occasion was held at the school premises in Mwanga, Kilimanjaro over the weekend.  Others from left are TPCC CSR Executive,  Natasha D'Souza and TPCC Managing Director, Pascal Lesoinne and School headmistress, Mary Namleza. The classrooms were destroyed by floods last year.

No comments:

Post a Comment

ABSA BANK TANZANIA REAFFIRMS COMMITMENT TO WOMEN IN TECHNOLOGY AT GIRLCODE HACKATHON 2026

Absa Bank Tanzania Chief Operating Officer, Mr. Oscar Mwamfwagasi, addresses participants during the closing ceremony of the 2026 edition of...

Pages