ATE yaandaaa kongamano kujadili changamoto za masuala ya ajira na biashara kwa wachina. - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, August 17, 2017

ATE yaandaaa kongamano kujadili changamoto za masuala ya ajira na biashara kwa wachina.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka (kulia), akizungumza wakati kongamano kuhusu changamoto zinazowakabili wafanyabiasha wa kichina na suluhisho zake liliandaliwa na ATE na Shrikisho la Wafanyabiasha la China (CEC), jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Dk. Yahya Msigwa (katikati), akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiasha wa China nchini Tanzania (CBCT), Janson Huang huku Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka akiangalia wakati kongamano kuhusu changamoto  zinazowakabili wafanyabiasha wa kichina na suluhisho zake liliandaliwa na ATE na Shrikisho la Wafanyabiasha la China (CEC), jijini Dar es Salaam.

Bwana Lin Zhiyong, Mkuu wa Biashara katika Ubalozi wa China nchini, akizungumza washiriki waliohudhuria katika kongamano kuhusu changamoto zinazowakabili wafanyabiasha wa kichina na suluhisho zake liliandaliwa na ATE na Shrikisho la Wafanyabiasha la China (CEC), jijini Dar es Salaam. 

Meneja  Miradi ya Shirikisho la Vyama vya Waajiri Nchini Norway (NHO) wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE), JoyceNangai-Ibengwe (kulia), akizungumza wakati wa kongamano hilo.

Baadhi ya washiriki wa kongamano hjilo wakifuatilia hotuba na elimu kuhusu masuala ya ajira na sheria za jinsi ya kufanya biashara nchini.

Mjumbe wa Bodi ya ATE, Kabeho Solo (kushoto), Bi. Tori Nettelhorst Tveit (kulia) kutoka Shirikisho la Vyama vya Waajiri la Norway (NHO) NA Meneja wa Idara ya Sheria wa ATE, Suzanne Ndomba (katikati), wakibadilishana mawasiliano wakati wa kondamano hilo.


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Dk. Yahya Msigwa (kushoto), akimsiliza Ofisa Mawasiliano wa ATE, Yunge Peter (kulia) huku Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiasha wa China nchini Tanzania (CBCT), Janson Huang (wa pili kushoto), na Celestine Leonard wa ATE wakisikiliza wakati wa kongamano hilo.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages