Sunday, March 24, 2019
WAKAZI WA MTWARA WAFURIKA TAMASHA LA SHIKA NDINGA
Meneja
wa Benki ya NBC, Kanda ya Pwani, Daudi
Mfalla (kushoto) akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa kampeni ya Shika
Ndinga kwa upande wa wanawake, Mariamu Hamisi wakati wa kampeni hiyo katika Uwanja wa Shule ya Msingi
Majengo mkoani Mtwara jana. Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Mtwara, Job Nshatsi.
NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu
na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM
ya Visa hapo hapo pamoja na kufahamishwa huduma nyingine za kibeni za benki
hiyo.
Meneja
wa Benki ya NBC, Kanda ya Pwani, Daudi Mfalla (kulia) akimkabidhi pikipiki
mmoja wa washindi wa kampeni ya Shika Ndinga kwa upande wa wanaume, Silvan Gabriel
iliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo Mtwara jana. Katikati
ni Meneja wa NBC Tawi la Mtwara, Job Nshatsi. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa
na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Biashara cha Benki ya
NBC, Japhet Fungo (kushoto) akiwaeleza waendesha
bodaboda kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zinzowafaa zitolewazo na NBC
wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo
Mkoani Mtwara jana. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza
huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya
Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC , Dunstan Lipawaga
(kushoto) akizungumza na washiriki wa Shindano la Shika Ndinga Mkoani Mtwara
kuhusu huduma za Kibenki zitolewazo na benki katika Uwanja wa Shule ya Msingi
Majengo Mkoani Mtwara jana. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la
kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua
akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Mkazi wa Mtwara, Ismail Sama (kulia), akiweka alama
ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya Benki ya NBC, katika kampeni ya Shika
Ndinga iliyofanyika jana katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, mkoani
Mtwara juzi. Kushoto ni Ofisa Mauzo wa NBC, Dunstan Lipawaga. NBC inadhamini
kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao
ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo
hapo.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Ashura
Mchopa (kushoto) akiangalia wakati mmoja wa wakazi wa Mtwara akiweka alama ya
dole gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya benki ya NBC katika kampeni ya
Shika Ndinga mkoani humo jana. NBC inadhamini
kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao
ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo
hapo.
Mkazi wa Mtwara, Yakini Suwedi (kushoto), akiweka
alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya Benki ya NBC, katika kampeni ya
Shika Ndinga iliyofanyika jana katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, mkoani
Mtwara jana. Kushoto ni Ofisa wa Benki ya NBC, Baraka Mponda. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la
kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua
akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Pwani, Daudi Mfalla
(kulia), akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Mtwara waliojitokeza katika kampeni
ya Shika Ndinga kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, mkoani humo jana. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na
lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja
wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo na pia
kupata huduma nyingine za kibenki zitolewazo na NBC.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Ashura
Mchopa (kulia) akimkabidhi kadi ya ATM aina ya Visa kwa mkazi wa
Mtwara Abduli Ally, baada ya kufungua akaunti ya Fasta wakati wa kampeni
ya Shika Ndinga katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo mkoani humo jana. NBC inadhamini kampeni iliyoandaliwa na Kituo
cha Redio cha EFM kwa malengo ya kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja
wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa
hapo hapo.
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Dunstan Lipawaga
(kushoto) akimkabidhi kadi ya ATM aina ya Visa mkazi wa Mtwara, Ismail
Sama baada ya kufungua akaunti ya Fasta wakati wa kampeni ya Shika Ndinga katika
Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo mkoani humo juzi. NBC inadhamini kampeni hiyo kwa malengo ya
kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua
akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Baadhi ya washiriki wa kampeni ya Shika Ndinga
wakichuana ili kumpata mshindi katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo mkoani
Mtwara jana. Kampeni ya Shika Ndinga inayoendeshwa na Kituo cha Redio cha EFM
na kufanyika mikoa mbalimbali nchini inadhaminiwa na Benki ya NBC.
Washindi wa Shika Ndinga wa Mkoani Mtwara
waliojishindia pikipiki wakipozi kwa picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wa NBC
mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao. Kampeni ya Shika Ndinga inayoendeshwa na
Kituo cha Redio cha EFM na kufanyika mikoa mbalimbali nchini imedhaminiwa na
Benki ya NBC.
Washiriki wakichuana katika mbio za magunia katika
kampeni hiyo mkoani Mtwara jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment