TANGA CEMENT YAPIGA JEKI UJENZI NYUMBA ZA POLISI KILINDI - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, April 11, 2019

TANGA CEMENT YAPIGA JEKI UJENZI NYUMBA ZA POLISI KILINDI


Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi  Ben Lema (kulia),akikabidhi msaada  wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya  shs 2,139,000 kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga, Leonce Rwengazira (kushoto), iliyotolewa na kampuni hiyo  kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano  ilifanyika  kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi.   Wengine  ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na wa kutoka  jeshi la polisi.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje  wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor  (kushoto), akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye dhamani ya  shs 2,139,000 kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe Tanga jana.   wengine picha ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na maofisa kutoka katika jeshi la polisi.

Mkuu wa Rasilimali watu   wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana Malambugi(kushoto),akikabidhi msaada wa  mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya  shs 2,139,000 kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano imefanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi  wengine  ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na  kutoka jeshi la polisi.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi  Ben Lema (watatukushoto), akizungumza jambo kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga Leonce Rwengazira, katika hafla hiyo.



Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya  Saruji  Tanga (TCPLC), Hellen Maleko (katikati), akiongozana na Maofosa wa Polisi  baada ya makabidhiano

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages