Thursday, June 25, 2020
Dk Hussein Mwinyi arudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM
Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo.
Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi am,bayo tayari imeshajazwa leo Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui.
Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya kugomea urais wa Zanzibar kupitia CCM leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SERIKALI YASISITIZA UTAALAMU NA UBUNIFU KATIKA UNUNUZI NA UGAVI
Serikali imewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kuongeza ubunifu, uongozi bora na matumizi ya teknolojia za kisasa ili kuongeza ufani...




No comments:
Post a Comment