Wednesday, September 9, 2020
Home
BUSINESS
ABSA TANZANIA YATOA MAFUNZO YA 'DATA JOURNALISM MASTER CLASS' KWA WAANDISHI WA HABARI KWA NJIA YA MTANDAO.
ABSA TANZANIA YATOA MAFUNZO YA 'DATA JOURNALISM MASTER CLASS' KWA WAANDISHI WA HABARI KWA NJIA YA MTANDAO.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania Hellen Siria akizungumza na waandishi wa habari walioshiriki mafunzo maalum ya 'Absa Data Journalism Master Class' yanayofanyika Jijini Dar es Salaam kwa siku mbili katika ukumbi wa mikutano wa benki hiyo. Mafunzo hayo yanatolewa kwa njia ya Video na Mkufunzi Peter Verwei kutoka Chuo Kikuu cha Rhodes, kilichopo Afrika Kusini.
Waandishi wa habari kutoka Katika vyombo mbalimbali vya habari wakiwemo wa mitandao ya kijamii wakifuatilia mafunzo hayo kwa njia ya Video kutokea Nchini Afrika Kusini na Mkufunzi Peter Verwei wa Chuo Kikuu cha Rhodes, kilichopo Nchini humo.
Waandishi wa habari kutoka Katika vyombo mbalimbali vya habari wakiwemo wa mitandao ya kijamii wakiwa kwenye mafunzo ya siku mbili ya 'Absa Data Journalism Master Class' Katika ukumbi wa mikutano wa Benki hiyo Jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatarajiwa kuhitimishwa Septemba 10, 2020.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment