MHE.SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA NDANDA MASASI - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, September 13, 2020

MHE.SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA NDANDA MASASI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda alipowasili katia uwanja wa kijiji cha Mateko Ndanda Wilayani Masasi wa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 13,2020.
 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Ndanda Wilayani Masasi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020. (Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages