Tuesday, July 5, 2016
Benki ya NBC ilivyoandaa futari kwa wateja wake mikoa mbalimbali nchini
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya
Singida, Saidi Amanzi akikabidhi kitabu kwa Mwenyekiti wa BAKWATA Singida,
Sheikh Hamis Mohamed Kituke (kulia) wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC
kwa wateja wake mkoani Singida hivi
karibuni. Kushoto ni Mkuu wa Huduma za Kibenki zinazofuata kanuni na misngi
ya kiislamu (Islamic Banking) wa Benki
ya NBC, Yassir Masoud.
Mkuu wa Huduma za Kibenki zinazofuata kanuni na misngi
ya kiislamu (Islamic Banking) wa Benki
ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo
waliyohudhuria hafla ya futari waliyoiandaa mjini Dodoma hivi karibuni.
Meneja Uendelezaji wa
Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja
wa benki hiyo katika hafla ya futari walitowaandalia wateja wao wa mjini
Zanzibar hivi karibuni.
Mkuu wa Huduma za Kibenki zinazofuata kanuni na misngi
ya kiislamu (Islamic Banking) wa Benki
ya NBC, Yassir Masoud (kulia), akisalimiana na
Sheikh wa Mkoa wa Mtwara na Naibu Kadhi wa Mtwara, Nurdin
Mangochi katika hafla ya
futari waliyoandaa kwa wateja wao mkoani humo hivi karibuni.
Baadhi ya
wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mjini Tanga, wakishirki mlo wa futari ulioandaliwa na
benki hiyo mkoani Tanga hivi karibuni.
Mkuu wa
Huduma za Kibenki zinazofuata kanuni na misngi ya kiislamu (Islamic
Banking) wa Benki ya NBC, Yassir Masoud
akisalimiana na Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Morogoro, Jacob Ole Mameo
(kulia), katika hafla ya futari waliyoandaa kwa wateja wao mkoani
Morogoro hivi karibuni
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa
Benki ya NBC Tanzania, James Kinyanyi (katikati), Mkuu wa Huduma Rejereja za
Kibenki wa benki hiyo, Musa Jallow (kushoto), wakizungumza na mmoja wa wateja
wa NBC, Yasser Yusuf (kulia), katika
futari waliyoiandaa kwa wateja wa Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Minister officially launches real estate giant Coldwell Banker Tanzania and Zanzibar
Zanzibar Minister for Labour, Economy, and Investment, Shariff Ali Shariff addresses guests during the launch of Coldwell Banker Tanzania an...
No comments:
Post a Comment