Zantel yazindua progam maalumu kusaidia wahitimu wa vyuo kupata ajira moja kwa moja Zantel - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, March 29, 2018

Zantel yazindua progam maalumu kusaidia wahitimu wa vyuo kupata ajira moja kwa moja Zantel

Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa (wa pili kulia), akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa program ya wahitimu wa vyuo vikuu inayovilenga  vyuo vikuu visiwani  humo itakayowasaidia wahitimu hao kupata ajira moja kwa moja Zantel. Kutoka kushoto ni, Ofisa Rasilimali Watu wa Zantel, Saidi Habibu, Ofisa Kazi wa Idara ya Kazi Zanzibar, Juma Chumu na Juma Vuai Ameir  naye pia kutoka Idara ya Kazi.
Ofisa Rasilimali Watu wa Zantel, Saidi Habibu (kushoto), akizungumza  katika hafla ya uzinduzi  wa program hiyo. Kushoto kwake ni,  Ofisa Kazi wa Idara ya Kazi Zanzibar, Juma Chumu, Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa na Juma Vuai Ameir kutoka Idara ya Kazi.
Meneja Masoko wa Zantel Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya wawakilishi kutoka vyuo vikuu vya mjini Zanzibar wakihudhuria hafla hiyo.
Ofisa Rasilimali Watu wa Zantel, Saidi Habibu (kulia), akizungumza na baadhi ya wanufaika wa Program ya Wahitimu wa Vyo Vikuu ilipozinduliwa mjini Zanzibar jana. Program hii maalumu kwa wahitimu wa vyuo vikuu visiwani humo itawasaidia kupata ajira moja kwa moja Zantel. Kutoka kushoto ni, Benazir Abdulhakim Omar, Thaurat Ali Abdallah, Ilham Mohamed Haji na Alli Hemed Salum.
Mmoja wa wanufaika wa program hiyo, Ally Hemed Salum (kulia), kutoka Chuo Kikuu Zanzibar, akijitambulisha.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages