Wednesday, June 19, 2019
MECHI ZA LEO JUNI 19, VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MISITU KIVULE HAPATOSHI
Mshambuliaji wa timu ya Magereza FC, Samson Mbangula (wapili kushoto), akijaribu kuwatoka mabeki wa Professional FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Beki wa Professional FC, akiwania mpira na Mshambuliaji wa Magereza FC, Samson Mbangula, wakati wakichuana katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Professional FC, Aloyce Ambrosi akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Magereza FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Kitunda FC, Athuman Gasa akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Tumaini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1
Mshambuliaji wa Kitunda FC, akiambaa na mpira dhidi ya mchezo wao na Tumaini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment