Tuesday, July 16, 2019
LIGI YA PROPHET SUGUYE YAFIKIA HATUA YA ROBO FAINALI UKIPIGWA NJE
Beki wa machimbo FC Ekson Kavali, (katikati), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Magereza FC, Frank William (kushoto), wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo katika mchezo huo Magereza iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Machimbo FC, Dotto Doto, akikamata mpira wakati wamchezo wao dhidi ya Magereza FC katika mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo mchezo huo umemalizaka Magereza ikiibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa viwanjani hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Absa Dar City Marathon 2024 donates hospital equipment to Mnazi Mmoja Hospital
Absa Bank Tanzania Head of Marketing and Corporate Affairs, Mr. Aron Luhanga hands over a part of hospital equipment to Mnazi Mmoja Hospital...
No comments:
Post a Comment