Meneja masoko wa taasisi ya kifedha Y9 microfinance Bi. Sophia Mang’enya (katikati) akizungumza na mshindi wa pikipiki droo ya sita kwa njia ya simu Baraka Barazae mkazi wa Dar es Salaam ambaye amejishindia pikipiki na Robert Keraryo mkazi wa Butiama ambaye amejishindia simu janja. Hafla ya kuchezesha droo hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam, Wengine pichani kutoka kushoto ni Afisa kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bi. Pendo Mfulu.
Thursday, November 16, 2023

WASHINDI WA DROO YA 6 Y9 MICROFINANCE WAPATIKANA
Tags
# BIASHARA
Share This
Newer Article
ROTARY TANZANIA YAENDELEA ILIPOISHIA, SASA NI ZAMU YA WAKAZI WA BUNJU KUPATA MATIBABU BURE
Older Article
Takwimu sahihi nyenzo muhimu mapambano dhidi ya Ukimwi
AKIBA COMMERCIAL BANK YAPELEKA TABASAMU KWA WATOTO WANAOLELEWA CHAKUWAMA.
Hassani MakeroMar 28, 2025SIMTANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA MAWAKALA WAKE WAKISHEREHEKEA MIAKA 35 TANGU KUANZISHA
kilole mzeeMar 02, 2025BENKI YA KCB IMESHIRIKI KUWEZESHA SHILINGI MILIONI 30 KUWEZESHA SHEREHE YA SHUKRANI SHULE YA MARIAN
kilole mzeeSept 02, 2024
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Meneja masoko wa taasisi ya kifedha Y9 microfinance Bi. Sophia Mang’enya (katikati) akizungumza na mshindi wa pikipiki droo ya sita kwa njia ya simu Baraka Barazae mkazi wa Dar es Salaam ambaye amejishindia pikipiki na Robert Keraryo mkazi wa But...
No comments:
Post a Comment